* * *Maneno quiz* **
Maneno quiz - swahili game ni mchezo/game ya kiswahili ambayo unatengeneza neno la kiswahili kwa kuunganisha herufi za kiswahili ambazo zinaweza kuleta maana.
Tafuta maneno- swahili game ina maneno zaid ya 1000 ambayo ni sanifu na yapo katika kamusi sanifu ya kiswahili.
MANENO QUIZ - SWAHILI GAME
FEATURES
- Maneno quiz - swahili game unaweza kucheza bila yakuwa na data (offline)
- Maneno quiz - swahili game ina leader board ambayo inaweza kukuonyesha points za wenzako na mtu ambae anaongoza
- Maneno quiz - swahili game unaweza kushindana na wenzako na kuona points zao
-Maneno quiz - swahili game ni bure kucheza haihitaji malipo ili ucheze
- Maneno quiz - swahili game unaweza kutumia hints ambazo zitakusaidia endapo itakuwa umekwama
- Maneno quiz - swahili game imetumia maneno fasaha na sanifu ya kiswahili
- Maneno quiz - swahili game anaweza kucheza mtu mwnye umri wowote
- Maneno Quiz - swahili game imetengenezwa katika muonekano rahisi ili mtu yeyote aweze kutumia.