Bodi ya Mfuko wa Barabara Tanzania inakuletea app ambayo itawezesha raia wa Tanzania kutoa habari kuhusiana na uharibifu wa miundombinu ya barabara.