App hii imeandaliwa kwa ajili ya wanaopenda kujifunza ufugaji bora wa mifugo au wanaopenda kuobresha ufugaji wao wa mifugo. Inatoa elimu ya mifugo yote inayofugwa sehemu mbalimbali duniani. Ni kupitia app hii utajifunza mbinu mbalimbali za ufugaji na namna ya kukabiliana na changamoto mbalimbali za ufugaji kubwa ikiwa ni magonjwa. Pakua app hii sasa na mjulishe na mwenzio maana inapatikana bure kabisa ili mradi uwe na smartphone.