Katika Afya yangu utaweza kupata maarifa kuhusu Afya ya mwanadamu, ushahuri wa kitaalamu wa afya na hata kuuliza maswali kwa kuchat moja kwa moja na wataalamu wa afya, Utaweza kufahamu magonjwa mbalimbali pamoja na visababishi,dalili, matibabu na kinga .
" Kiganjani kwako hudumiwa, pata ushahuri na mengi zaidi........"
Miongoni mwa utakayofaidika nayo ni kama vile #ushauri juu ya;
. milo bora
. mazoezi
. tabia hatarishi
. malezi
. Afya ya mazingira
. Habari na Taarifa zinazohuusu Afya